admin2

    Historia ya Chama

    Historia ya Chama Tarehe 11 na 12 Juni, 1991 vikundi mbali mbali vya watanzania waliokuwa wamedhamiria kuleta Mageuzi vilitisha kongamano jijini Dar es Salaam kudai mbadiliko katika mfumo wa siasa na serikali. Waliazimia kuunda kamati ya kitaifa kwa ajili ya mageuzi ya Katiba (National Committee for Constitution Reform), kwa kifupi NCCR. Kamati hiyo iliwahamasisha wananchi…

    Soma Zaidi

      Uongozi wa Chama

      VIONGOZI WAKUU WA CHAMA KITAIFA Haji Ambar Khamis Mwenyekiti Taifa   Joseph Roman Selasin Makamu Mwenyekiti (Bara)   Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) Martha  R. Chiomba Katibu Mkuu     Ameir Mshindani Ali Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Sussane P. Maselle Mweka Hazina (T)          

      Soma Zaidi