Chama cha NCCR-Mageuzi tunapenda kuweka msisitizo wa taarifa tuliyoitoa tarehe 16 Januari 2021 katika kikao chetu cha halmashauri kuu ya Taifa. Taarifa inayohusu Ugonjwa wa Virusi vya Korona-19 (UVIKO-19). NCCR-Mageuzi tunawaomba watanzania kuongeza mbinu za kujikinga…