Mkuu wa Idara ya Uenezi na mahusiano ya umma Taifa ndugu Edward Julius Simbeye, amesema NCCR-Mageuzi ikiwa ni moja ya chama cha siasa kilichoshiriki uchaguzi huo akiyatambui matokeo ya uchaguzi huo