admin2

    Dira, Dhima na Kauli Mbiu

    Dira/ Madhumuni Kuwa na chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya UTU, kinachoongoza taifa na kanda (ndani ya Afrika) kwa mawazao tokevu ya kimaendeleo ili kurejesha na kuendeleza ustawi wa jamii, haki, na mafanikio ya mwanadamu. Dhima/ Madhumuni Kuleta mageuzi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na nchini na katika kanda (ndani ya Afrika) kwa lengo la…

    Soma Zaidi

      Kujiunga na Chama

      1. Anayeomba uanachama anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo:- 2. Awe ni raia wa Tanzania 3. Awe na umri usiopungua miaka kumi na nane 4. Awe na akili timamu 5. Awe anakubali itikadi, misingi ya kisiasa, madhumuni, sera, kanuni na taratibu za Chama 6. Akikubaliwa anunue kadi, alipie ada za Chama na kuorodheshwa katika daftari la orodha…

      Soma Zaidi

        Haki na Wajibu wa Mwanachama

        Haki za Mwanachama: Kuchagua na kuchaguliwa katika uongozi wa Chama wa ngazi yoyote kwa mujibu wa taratibu za Chama. Kupata habari zote zilizojadiliwa na kutolewa uamuzi na wanachama katika kumbukumbu za vikao vinavyomhusu. Kutoa hoja za kusahihisha na kuweka sawa maongozi ya Chama bila hofu wala upendeleo. Hoja zitatolewa kwa kuwasilishwa kwa maandishi kwa Katibu…

        Soma Zaidi

          Vitengo vya Chama

          Chama kina vitengo vifuatavyo: 1. Kitengo cha Wazee. 2. Kitengo cha Wanawake. 3. Kitengo cha Vijana. Vitengo vya Chama viko chini ya uongozi wa Chama wa ngazi husika kupitia kwa Katibu wa Chama wa ngazi hiyo Katibu Mkuu ataandaa kanuni za kusimamia uendeshaji wa shughuli za vitengo na kanuni hizo zitaanza kutumika baada ya kupitishwa…

          Soma Zaidi