admin2

Kikao cha mkutano mkuu wa Taifa wa uchaguzi wa NCCR Mageuzi kuwapata viongozi wa kitaifa

Kikao cha mkutano mkuu wa Taifa wa uchaguzi wa NCCR Mageuzi kuwapata viongozi wa kitaifa Waliochaguliwa ni :- 1. Haji Ambar Khamis- Mwenyekiti Taifa. 2. Joseph Roman Selasini-Makamu Mwenyekiti-Bara. 3. Laila Rajabu Khamis- Makamu Mwenyekiti- Zanzibar 4. Evaline Wilbard Munisi- Katibu Mkuu 5. Martin Mung’ong’o-Naibu Katibu Mkuu-Bara. 6. Ameir Mshindani Ali- Naibu Katibu Mkuu Zanzibar…

Soma Zaidi