Ndugu zetu Wanahabari; Tunawashukuru kwa kufika. Tumewaalika hapa ilituweze kuwafikia watanzania wenzetu kuhusu utaratibu wetu na msimamo wetu kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, ambapo kampeni zake zitaanza mwezi Agosti mwaka huu, 2025. Ndugu zetu Wanahabari, Kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao, sisi NCCR-Mageuzi kupitia kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 30 Machi, 2025, chama…