Kamati ya maadili ya Taifa ya Uchaguzi imesitisha adhabu za kufungiwa kwa siku 7 kwa wagombea wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia pamoja na ndugu Anthony Calist Komu