Dira, Dhima na Kauli Mbiu
Dira/ Madhumuni
Kuwa na chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya UTU, kinachoongoza taifa na kanda (ndani ya Afrika) kwa mawazao tokevu ya kimaendeleo ili kurejesha na kuendeleza ustawi wa jamii, haki, na mafanikio ya mwanadamu.
Dhima/ Madhumuni
Kuleta mageuzi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na nchini na katika kanda (ndani ya Afrika) kwa lengo la kukuza ustawi wa watu wote.
Kauli Mbiu
Utu, Ambayo Misingi Yake Ni Udugu, Maadili, Usawa, Haki, Imani, Mabadiliko, Uhuru, Wajibu, Asili, Kazi Na Endelezo.