Kujiunga na Chama

1. Anayeomba uanachama anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo:-

2. Awe ni raia wa Tanzania

3. Awe na umri usiopungua miaka kumi na nane

4. Awe na akili timamu

5. Awe anakubali itikadi, misingi ya kisiasa, madhumuni, sera, kanuni na taratibu za Chama

6. Akikubaliwa anunue kadi, alipie ada za Chama na kuorodheshwa katika daftari la orodha ya wanachama.