Mkutano mkuu kupata viongozi kitaifa

mkutano mkuu wa Taifa wa uchaguzi wa NCCR-Mageuzi uliofanyika tarehe 29.03.2025 hadi 30.3.2025 kuwapata viongozi wa kitaifa.
Waliochaguliwa ni :-
1. Haji Ambar Khamis- Mwenyekiti Taifa.
2. Joseph Roman Selasini-Makamu Mwenyekiti-Bara.
3. Laila Rajabu Khamis- Makamu Mwenyekiti- Zanzibar
4. Evaline Wilbard Munisi- Katibu Mkuu
5. Martin Mung’ong’o-Naibu Katibu Mkuu-Bara.
6. Ameir Mshindani Ali- Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
7. Susanne Maselle- Mhazini Taifa.
Walichaguliwa pia wajumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati kuu.