Kujiunga na Chama:

Anayeomba uanachama anatakiwa kutimiza masharti yafuatayo:-

  • Awe ni raia wa Tanzania.
  • Awe na umri usiopungua miaka kumi na nane.
  • Awe na akili timamu.
  • Awe anakubali itikadi, misingi ya kisiasa, madhumuni, sera, kanuni na taratibu za Chama.
  • Akikubaliwa anunue kadi, alipie ada za Chama na kuorodheshwa katika daftari la orodha ya wanachama.