Pamoja Tutashinda

Miaka 17 ya kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Nyerere

  • Posted by NCCR Habari
  • On October 13, 2016

Katika kusherehekea miaka 17 ya kumbukumbua ya kifo cha Mwalimu Nyerere, Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR-MAGEUZI ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, Mhe. J. Mwatia, aliongea na TBC 1 kuhusu jinsi ambavyo anamfahamu Mwalimu na pia kuhusiana na maswala ya elimu.

nyerere-na-mbatia-tbc1

Amezungumza mengi kuhusu namna ambavyo tunaweza tukamuhenzi  Mwalimu katika njia adilifu na kukumbushia kurejesha heshima ya Mwalimu. Alisema, “Kama tunataka kusonga mbele, basi turejeshe heshima na mazingira ya ufanyaji kazi wa Mwalimu.”

Karibu usikilize makala hapa chini.

0 Comments

Leave Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *