Search Results for:

Vijana NCCR-Mageuzi na ajenda 10 za maendeleo

Kitengo cha Vijana NCCR-Mageuzi Taifa kupitia vikao vikao mbalimbali vya kujadili mustakabali wa vijana kwa miaka 5 ijayo pamoja na vipaumbele vyao kueleke uchaguzi mkuu 2020 wamekuja na mapendekezo ya mambo kadhaa ya kusimamiwa ili kuweza kuwapa fursa vijana ambao ni zaidi ya 65% ya watanzania wote nchini.

Read More

 Kwaheri ACT-Wazalendo, hodi NCCR-Mageuzi

Ndugu waandishi wa habari, kama mnavyofahamu nimekuwa nikikitumikia chama cha ACT Wazalendo kwa takribani miaka 5 sasa, nimekuwa nikihudumu kamati mbali mbali za chama mpaka ilipofikia mwezi machi baada ya uchaguzi wa Ngome ambao niligombea kama Mwenyekiti ila sikushinda kutokana na sababu mbali mbali ambazo sitaweza kuzieleza hapa.
Naomba nichukue nafasi hii pia kuishukuru ACT Wazalendo kwa hapa iliponifikisha ila sina budi kusema inatosha kuwa mwanachama wake.

Read More

BREAKING NEWS: NCCR-Mageuzi yavuna tena wanachama zaidi ya 250, Mara.

Ziara inayoendelea katika mikoa ya kanda ya ziwa inayoongozwa na Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma ndugu Edward Julius Simbeye inaonyesha kuwa na matokea chanya siku baaada ya siku. Zaidi ya wanachama 250 kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini wakiwemo viongozi  mbalimbali wa majimbo na kata kutoka  mkoani mara hii leo wametangaza rasmi kujiunga na NCCR-Mageuzi na kukabidhiwa rasmi kadi za uanachama na ndugu Edward Simbeye.

Read More

 NCCR-Maguzi yawanoa watia nia wake wa Ubunge 2020

“Viongozi uandaliwa, viongozi hawaokotwi kwenye majalala” hii ni kauli ambayo imekuwa ikisisikika mara kwa mara kutoka kwa mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, ndugu James Francis Mbatia (Mb). Dhana kuu ya kauli hii inaakisi mienendo na tabia za viongozi wengi tulio nao sasa ambao mara nyingi wamekuwa wakionesha hali ya sintofahamu katika nafasi zao za majukumu.

Read More

Vuguvugu la Mageuzi Arusha

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo Ndugu JAMES FRANCIS MBATIA amezitaka mamlaka zinazosimamia uchaguzi kuwatendea haki Watanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba ili kupata viongozi wanaostahili kwa maslahi mapana ya mama Tanzania.

Read More
Loading

MBATIA Atoa KALI! “JEURI na VIBURI Vya WANASIASA VINAONDOA AMANI”

Pin It on Pinterest