Entries by admin2

TAMKO LA NCCR MAGEUZI KUHUSU UFISADI WA IPTL KUPITIA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW

TAMKO LA NCCR MAGEUZI KUHUSU UFISADI WA IPTL KUPITIA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW UTANGULIZI Itakumbukwa na watanzania kuwa kwa takribani miezi miwili sasa watanzania wamekuwa wakishuhudia bunge la bajeti ambalo pamoja na mambo mengine, hoja ya ufisadi wa fedha za Umma zilizochotwa kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ilichukua sehemu kubwa ya mjadala wan chi […]