Uchaguzi wa viongozi ngazi ya Taifa yatangazwa na Mwenyekiti wa chama

Mkutano Mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha (NCCR- Mageuzi) kimefanya uchaguzi na kuwapata viongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho watakachokiongoza kwa miaka mitano akiwamo James Mbatia aliyechaguliwa tena kuendelea kuwa mwenyekiti.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *