Pamoja Tutashinda

Halmashauri Kuu ya Taifa

Pamoja na kufanya kazi nyingine zilizotajwa katika Katiba ya Chama; kazi ya Halmashauri Kuu ya Taifa ambayo hukutana angalau mara moja kila baada ya miezi sita ni kutunga na kutekeleza Sera za Chama kuhusu Uchumi na Maendeleo ya Jamii kama zilivyopitishwa na Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama. Pia kutathimini utekelezaji wa shughuli zote za Chama nchini pamoja na kutunga Ilani ya Uchaguzi ya Chama na kupendekeza kwa Mkutano Mkuu wa Taifa mabadiliko au marekebisho ya Katiba ya Chama.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ni wakina nani?

james-mbatia

 

 

Mhe. James F. Mbatia (Mb)

Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu, Mkuu wa Chuo cha NCCR-MAGEUZI na Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI

 

martin-danda-juju

 

 

Ndg. Juju M. Danda

Katibu wa Halmashauri Kuu na Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI

 

haji-ambar-khamis

 

 

Ndg. Haji A. Khamis

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Makamu Mwenyekiti (ZNZ) wa NCCR-MAGEUZI

 

liz-mhagama

 

 

Ndg. Elizabeth M. Mhagama

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Naibu Katibu Mkuu (BARA) wa NCCR-MAGEUZI

 

mussa-mussa

 

 

Ndg. Mussa K. Mussa

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Naibu Katibu Mkuu (ZNZ) wa NCCR-MAGEUZI

 

mike-ayubu-karama

 

 

Ndg. Mike A. Karava

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Mweka Hazina wa NCCR-MAGEUZI

 

tiba1

 

 

Ndg. Mohamed T. Tibanyendera

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

beati

 

 

Ndg. Beati Mpitabakana

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

s-thomas

 

 

Ndg. Sebastian G. Thomas

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

honestm

 

 

Ndg. Honest D. Mombury

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

alex

 

 

Ndg. Alex C. Mniko

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

m-slim

 

 

Ndg. Mohamedi A. Slim

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

fidelis-kumbo

 

 

Ndg. Fidelis F. Kumbo

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

tano-m

 

 

Ndg. Tano M. Mahende

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

idrisaomary

 

 

Ndg. Idrisa O. Haji

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

massoud-n-omar

 

 

Ndg. Masoud N. Omary

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

josephnyoni

 

 

Ndg. Joseph Nyoni

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

agripinaz

 

 

Ndg. Agripina Z. Buyogera

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

winifridathomas

 

 

Ndg. Winifrida Thomas

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

tausiamos

 

 

Ndg. Tausi A. Kiterengera

Mjumba wa Halmashauri Kuu

 

esterkomba

 

 

Ndg. Esther Komba

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

fatuma-seif-omary

 

 

Ndg. Fatuma S. Omary

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

suzanaAugustino

 

 

Ndg. Suzana Augustino

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

rosemarykayungi

 

 

Ndg. Rosemary P. Kayungi

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

leilakhamis

 

 

Ndg. Leila R. Khamis

Mjumbe  wa Halmashauri Kuu

 

samuel-ruhuza

 

 

Ndg. Samuel A. M. Ruhuza

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

asha-m-ali1

 

 

Ndg. Asha M. Ali

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

bi-mkubwa-hamisi

 

 

Ndg. BiMkubwa K. Ally

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

sleyum-juma

 

 

Ndg. Sleyum J. Sleyum

Mjumbe wa Halmshauri Kuu

 

anatory-amani

 

 

Ndg. Amani Anatory

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

youngsav

 

 

Ndg. Youngsaviour A. Msuya

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

abdallahmasanga

 

 

Ndg. Abdallah H. Massanga

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

victor-s

 

 

Ndg. Victor Sulle

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Athanas Mawazo

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Rukia A. Hassan

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Mose J. Faki

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Hemed Msabaha

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Maulid H. Ally

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Lailati A. Abdallah

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Sabiah I. Tajabu

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Angelina Mutahiwa

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Fatuma A. Omary

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Azory Nitije

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Edgar Oyieko

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Martin B. Mg’ong’o

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Blandina Msimbe

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. AnnaJoyce K. Thadei

Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

peterson-w

 

 

Ndg. Peterson W. Mushenyera

Kamishna – Kagena na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

ameir-m-ali

 

 

Ndg. Ameir M. Ali

Kamishna – Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

ramadhanamran

 

 

Ndg. Ramadhani Amram

Kamishna – Mwanza na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

yusuf-k-majoka

 

 

Ndg. Yussuf K. Majoka

Kamishna – Kusini Pemba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

michael-omimo-amino

 

 

Ndg. Michael O. Amimo

Kamishna – Simiyu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

zuberi-k

 

 

Ndg. Zuberi C. Kandile

Kamishna – Lindi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

rajabu-makwaya

 

 

Ndg. Rajabu Makwaya

Mamishna – Pwani na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

rodrick-mmanyi

 

 

Ndg. Rodrick M. Mmanyi

Kamishna – Kilimanjaro na Mjumbe wa Halmashauri 

 

ramadhanmanyeko

 

 

Ndg. Ramadhan Manyeko

Kamishna – Tanga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

rajabukazimoto

 

 

Ndg. Rajab T. Kazimoto

Kamishna – Dar Es Salaam na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

omary-h-bora

 

 

Ndg. Omar H. Bora

Kamishna – Kaskazini Pemba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

danford-kagabo

 

 

Ndg. Danford Kagabo

Kamishna – Kigoma na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

meshack-g

 

 

Ndg. Meshack G. Masinga

Kamishna – Dodoma na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

rajabmakana

 

 

Ndg. Rajab M. Makana

Kamishna – Katavi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

patric-salhanga

 

 

Ndg. Patrick Salhanga

Kamishna – Rukwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

salma-o-mohamed

 

 

Ndg. Salma O. Mohamed

Kamishna – Mjini Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

sakina-bakari

 

 

Ndg. Sakina Bakary

Kamishna – Morogoro na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

juma-haule

 

 

Ndg. Juma M. Haule

Kamishna – Ruvuma na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

kalipeni-kopa

 

 

Ndg. Kalipeni Koba

Kamishna – Iringa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

anyimike-mwasa

 

 

Ndg. Anyimike Mwasakilali

Kamishna – Mbeya na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

malaki-o

 

 

Ndg. Malaki Omollo

Kamishna – Mara na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

jackson-k

 

 

Ndg. jackson L. Kichenyenge

Kamishna – Tabora na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

greyson-m

 

 

Ndg. Greyson Mwasenga

Kamishna – Shinyanga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Celestin Thomas

Kamishna – Geita na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Sauli J. Mwakitundu

Kamishna – Songwe na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Amin U. Ameir

Kamishna – Kusini Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Hassan U. Abdallah

Kamishna – Mtwara na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

default-pic

 

 

Ndg. Japhet M. Makala

Kamishna – Singida na Mjumbe wa Halmashauri Kuu

 

kahangwa

 

 

Ndg. George L. Kahangwa

Makamu Mkuu wa Chuo cha NCCR-MAGEUZI na Mjumbe wa Halmashauri Kuu