Pamoja Tutashinda

TAMKO LA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KUHUSU MAKINIKIA

  • Posted by admin
  • On June 19, 2017
TAMKO LA CHAMA CHA NCCR – MAGEUZI KUHUSU RIPOTI YA PILI YA MCHANGA WA MADINI YA DHAHABU (MAKINIKIA).   Chama cha NCCR-Mageuzi kilipoasisiwa Mwaka 1992 msingi Mkuu wa sera yake ilikuwa ni UZAWA. Chama cha NCCR-Mageuzi kinaamini katika Utajiri Mkubwa wa Mali asili ambazo Tanzania tumejaliwa, na Madini ni sehemu moja tuu ya maliasili tulizonazo. […]
Read More

Miaka 17 ya kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Nyerere

  • Posted by NCCR Habari
  • On October 13, 2016
Katika kusherehekea miaka 17 ya kumbukumbua ya kifo cha Mwalimu Nyerere, Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR-MAGEUZI ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, Mhe. J. Mwatia, aliongea na TBC 1 kuhusu jinsi ambavyo anamfahamu Mwalimu na pia kuhusiana na maswala ya elimu. Amezungumza mengi kuhusu namna ambavyo tunaweza tukamuhenzi  Mwalimu katika njia adilifu na kukumbushia kurejesha […]
Read More

Sisi ni nani ?

  • Posted by admin
  • On June 22, 2016
Wanamageuzi ambao hawakuondoka ndani ya kamati ya NCCR kwa ajili ya kwenda kuunda vyama vingine, waliamua kuibadilisha kamati hiyo na kuunda chama cha Mageuzi kwa jina la NCCR-Mageuzi, mnamo tarehe 15 Februari 1992. Neno NCCR lilipewa maana mpya, yaani; National Convention for Construction and Reform. Tafsiri rasmi ya jina hili ni Chama cha Mageuzi na […]
Read More