Entries by admin2

Hatua tuliyofikia katika ufanikishaji wa Haki ya Elimu’

Hatua tuliyofikia katika ufanikishaji wa Haki ya Elimu’ James Francis Mbatia 14 Desemba, 2019 Mjadala: ‘Haki ya elimu bure’ (right to free education) kwa kunzingatia mfumo wa kisheria na kimantinki katika upatikanaji wa elimu bora, jumuishi na sawa kwa wote. Swali: ‘ni hatua gani tumefikia katika kufanikisha haki ya elimu bora, jumuishi na sawa kwa […]

TAMKO LA NCCR MAGEUZI KUHUSU UFISADI WA IPTL KUPITIA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW

TAMKO LA NCCR MAGEUZI KUHUSU UFISADI WA IPTL KUPITIA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW UTANGULIZI Itakumbukwa na watanzania kuwa kwa takribani miezi miwili sasa watanzania wamekuwa wakishuhudia bunge la bajeti ambalo pamoja na mambo mengine, hoja ya ufisadi wa fedha za Umma zilizochotwa kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ilichukua sehemu kubwa ya mjadala wan chi […]